Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga,Bw. Vita Kawawa amewapiga
marufuku wafanyabiashara kusafirisha mpunga bila ya kukobolewa nje ya wilaya
hiyo ili kunusuru viwanda kufungwa na vijana kukosa ajira.
Bw.Kawawa amesema amri hiyo inalenga kuongeza fursa za ajira kwa vijana na
mapato kwa viwanda hivyo vya kukoboa mpunga na wafanyabiashara wanaowekeza
katika biashara hiyo.
“Kahama kuna zaidi ya viwanda 140 vya kukoboa mpunga na vimeajiri
wafanyakazi 4,100 na wanaofanya kazi za kupepeta mchele 2,500, hivyo kununua
mpunga na kuusafirisha nje ya wilaya bila kuukoboa ni kuviua viwanda hivyo na
kukosesha ajira watu zaidi ya 6,000 wanaonufaika na uwapo wa viwanda vya
kukoboa mpunga,” amesema Kawawa...SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.
|
Sunday, June 19, 2016
BIASHARA:-Wafanyabiashara wa Mpunga Kahama/Shinyang'a waonywa.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment