![]() |
Mabao mengine ya Ubelgiji yamefungwa na Toby Alderweireld, Michy Batshuayi naYannick Carrasco na Ubelgiji inakwenda Robo Fainali ambako itakutana na Wales. |
![]() |
Michuano hiyo itaendelea tena leo,June 27, 2016 ambapo Mabingwa wa zamani wa Dunia Italia watapambana na miamba ya soka Uhispania huku mtanange mwingine ukiwa baina ya Uingereza dhidi ya Iceland. |
No comments:
Post a Comment