EURO 2016:- KUNDI A ni Ufaransa na Uswisi Leo Jne 20 ni Hekaheka ya KUNDI B, Uingereza,Wales,Russia,Slovakia nani kwenda Mtoano.?. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 20, 2016

EURO 2016:- KUNDI A ni Ufaransa na Uswisi Leo Jne 20 ni Hekaheka ya KUNDI B, Uingereza,Wales,Russia,Slovakia nani kwenda Mtoano.?.

Mechi kali ilikuwa ya piga nikupige kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani kwa sare ya 0 - 0.

Mechi hiyo ya Kundi A la EURO 2016 zimekamilika Jana,June 19, 2016 huku Albania wakiifunga Romania 1-0 kwa bao la Dakika ya 43 la Armando Sadiku.
Matokeo hayo yameifanya Switzerland ifuzu pamoja Ufaransa, ambao walifuzu mapema, kutinga hatua ya Mtoano ya Timu 16 kwa Ufaransa kuibuka Washindi wa Kundi na Uswisi kushika Nafasi ya Pili.

Albania, ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya 3 kwenye Kundi A, watasubiri majaliwa ya kuona kama watapita kama moja ya Timu 4 zitakazokuwa Washindi wa Tatu Bora.
Leo,June 20, 2016,kuna mechi mbili za mwisho za Kundi B ambapo Russia watacheza na Wales na Ungereza kuivaa Slovakia.

EURO 2016 –RATIBA /MATOKEO.

**Saa za Bongo

Jumatatu June 20, 2016.

KUNDI B, Russia v Wales (2200, Stadium de Toulouse)

KUNDI B, Slovakia v England (2200, Stade Geoffroy Guichard)

Jumanne June 21, 2016.

KUNDI C, Ukraine v Poland (1900, Stade Velodrome)

KUNDI C, Northern Ireland v Germany (1900, Parc des Princes)

KUNDI D, Czech Republic v Turkey (2200, Stade Bollaert-Delelis)

KUNDI D, Croatia v Spain (2200, Stade de Bordeaux)

Jumatano June 22, 2016.

KUNDI F, Iceland v Austria (1900, Stade de France)

KUNDI F, Hungary v Portugal (1900, Stade de Lyon)

KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2200, Stade Pierre Mauroy)

KUNDI E, Sweden v Belgium (2200, Stade de Nice)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad