TASWIRA PICHA:-Walimu wa shule 14 za Msingi, wilayani Ngara na Mafunzo ya kuibua Vipaji vya Wanafunzi kwa Ufadhiri wa Jambo Bukoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 19, 2016

TASWIRA PICHA:-Walimu wa shule 14 za Msingi, wilayani Ngara na Mafunzo ya kuibua Vipaji vya Wanafunzi kwa Ufadhiri wa Jambo Bukoba.

Hao ni walimu wa shule 14 za Msingi, wilayani Ngara mkoani Kagera ambao walikuwa katika mafunzo ya siku tano ya kuibua vipaji vya wanafunzi wakifadhiliwa na Shirika la Jambo Bukoba na yamefungwa na Mkuu wa wilaya ya Ngara, Honoratha Chitanda kama anavyoonekana Pichani chini akiwa katikati na meneja wa shirika hilo Gonzaga Steven (kulia mwenye Tshirt Nyeupe).
Pichani, Mkuu wa wilaya ya Ngara,mkoani Kagera, Honoratha Chitanda anaonekana kabla ya kuvalishwa nguo za Michezo baada ya kupokelewa katika viwanja vya shule ya Sekondari ya Kabanga wilayani Ngara yalikofanyika mafunzo hayo. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad