TAZAMA PICHA:-Namna tGO Ilivyoshirikiana na Madereva wa bodaboda Ukerewe. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 08, 2016

TAZAMA PICHA:-Namna tGO Ilivyoshirikiana na Madereva wa bodaboda Ukerewe.


Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Joseph Mkirikiti,akihutubia madereva bodaboda wa wilaya yake jana wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa madereva hao na mtandao wa Tigo kwa ajili ya utendaji wao wa kutoa huduma ya usafiri ,Wa pili toka kulia ni Mkurugenzi wa Tigo  Kanda ya ziwa, Ali Maswanya na Mkurugenzi wa Mikakati wa Tigo Kobbina Awuah(kulia).
Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa Tigo Ali Maswanya, akizungumza wakati wa kuzindua ushirikiano wao na madereva Bodaboda Wilaya ya Ukerewe jana, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Joseph Mkirikiti na Mkurugenzi wa Mikakati wa Tigo Kobbina Awuah(kulia).

Madereva Bodaboda Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza,wakinyoosha mikono juu kuashilia kuzinduliwa kwa umoja wao na Mtandao wa Tigo,kwenye hafla iliyofanyika May 06,2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad