![]() |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Padri Kiongozi Peter Pinto
baada ya kushiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo
la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016. Kulia ni Pdr. Peter Pinto na kushoto
kwake ni Padri wasaidizi Prosper Tesha
na Furchong James Luis.
|
![]() |
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na vijana wa
altari katika ibada ya Jumapili ya Kupaa
kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
|
![]() |
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishiriki katika ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika
Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishiriki
katika ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa
Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
|
![]() |
|
Sehemu ya waumini
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli alipokuwa akiwsalimia
aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya
Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
|
![]() |
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishiriki katika ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika
Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
|

![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishukuru
baada ya kupokea zawadi ya Rozari kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa
Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea zawadi
ya Biblia Takatifu kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa
Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.
PICHA NA
IKULU.
|

No comments:
Post a Comment