CAF KOMBE LA SHIRIKISHO:- Yanga SC yainyuka 2 - 0 G.D. Sagrada Esperança. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, May 07, 2016

CAF KOMBE LA SHIRIKISHO:- Yanga SC yainyuka 2 - 0 G.D. Sagrada Esperança.


Mabingwa  wa Tanzania Bara, Yanga SC wametumia vyema Uwanja wa Nyumba,kwakuichapa GD Sagrada Esperanca ya Angola 2-0 katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mchujo ya CAF Kombe la Shirikisho jioni ya leo ,May 7, 2016 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Shukrani kwa wafungaji wa mabao hayo, Simon Msuva na Matheo Antony Simon, yote kipindi cha pili na sasa Yanga itahitaji sare katika mchezo wa marudiano wiki ijayo ili kuingia kwenye makundi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad