TASWIRA PICHA :-MATOKEO / RATIBA:-Bia zatawala BAYERN MUNICH Wakisherekea Ubingwa wao wa Bundesliga 2015/2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 15, 2016

TASWIRA PICHA :-MATOKEO / RATIBA:-Bia zatawala BAYERN MUNICH Wakisherekea Ubingwa wao wa Bundesliga 2015/2016.


Bayern Munich wametwaa Taji lao la 25 la Bundesliga msimu huu wa 2015/2016 huku wakiwa funga Hannover 96 mabao 3 – 1 kwenye mechi yao ya Jana,Jumamosi May 14, 2016. 


Huu ni Ubingwa wa 4 mfululizo wa Bayern Munich na hii imeweka Historia mpya huko Ujerumani kwa Bayern Munich kuwa Timu ya kwanza kutwaa Ubingwa mara 4 mfululizo.


Bao za  Bayern Munich zilifungwa na Robert Lewandowski na kumfanya awe Mfungaji Bora akiwa na Bao 30, huku magoli mengine yakifungwa na Mario Goetze mawili.KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.








No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad