|
Luis Suarez aliifungia FC Barcelona bao zote 3 katika dakika ya 22’’,38’’ na 86 na
sasa kuwa Mchezaji wa Kwanza katika Misimu 7 kuvunja himaya ya Lionel Messi na Ronaldo ya kutwaa ‘Pichichi’,
Taji Mfungaji Bora wa La Liga kwa kufunga magoli 40 akifuatiwa na Cristiano Ronaldo wa Real Madrid mwenye
bao 35.
|
Sunday, May 15, 2016
Home
MICHEZO
MATOKEO / RATIBA LA LIGA 2015/2016:- Barcelona Bingwa baada ya kuitwanga Granada mabao 3-0.
MATOKEO / RATIBA LA LIGA 2015/2016:- Barcelona Bingwa baada ya kuitwanga Granada mabao 3-0.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.





No comments:
Post a Comment