TASWIRA PICHA :-DC Ngara ashiriki Kampeni ya Wanafunzi katika shule ya Msingi kupata dawa za KICHOCHO na MINYOO YA TUMBO. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 22, 2016

TASWIRA PICHA :-DC Ngara ashiriki Kampeni ya Wanafunzi katika shule ya Msingi kupata dawa za KICHOCHO na MINYOO YA TUMBO.

Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Bi. Honoratha Chitanda (Pichani kulia ) akiwapatia dawa baadhi ya wanafunzi katika shule ya msingi Murugwanza,wakati wa zoezi la kumeza dawa za KICHOCHO na MINYOO YA TUMBO kwa Wanafunzi wote wa Shule za Msingi wenye umri wa Miaka 5 hadi 15 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara,Ijumaa May 20, 2016.
Pichani juu na Chini zoezi linaendelea.......Ngara bila magonjwa kwa watoto wetu inawezekana.


Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Bi. Honoratha Chitanda akishiriki chakula cha pamoja na baadhi ya wanafunzi katika shule ya msingi Murugwanza,kabla ya kupata  dawa za KICHOCHO na MINYOO YA TUMBO kwa Wanafunzi wote wa Shule za Msingi wenye umri wa Miaka 5 hadi 15 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara,Ijumaa May 20, 2016.


Wanafunzi wa Shule ya Msingi Murgwanza,wilayani Ngara wakipata chakula cha pamoja,kabla ya kupata  dawa za KICHOCHO na MINYOO YA TUMBO kwa Wanafunzi wote wa Shule za Msingi wenye umri wa Miaka 5 hadi 15 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara,Ijumaa May 20, 2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad