SOKO HILI KUU MJINI NGARA MPAKA LINI..??Laelezwa halina hadhi kulingana na Mahitaji ya Wananchi na Mabadiliko ya hali ya Hewa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 22, 2016

SOKO HILI KUU MJINI NGARA MPAKA LINI..??Laelezwa halina hadhi kulingana na Mahitaji ya Wananchi na Mabadiliko ya hali ya Hewa.


Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera imeshauriwa kutafuta fedha kupitia Vyanzo vya Mapato ya ndani kuboresha Soko la mjini Ngara lenye matulubali yaliyochanika baada ya kuachwa na Wakimbizi raia wa Burundi mwaka 2006.



Mkuu wa wilaya ya Ngara,Bi. Honoratha Chitanda ametoa wito huo hivi karibuni katika Mkutano wake na Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Ngara na kwamba soko hilo halina hadhi kulingana na mahitaji ya Wananchi na mabadiliko ya hali ya hewa.

Soko hilo ndo hilo kama linavyoonekana kwenye picha




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad