TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2016:-Kutoka Dar es salaam institute of Journalism and Mass Communication Tawi la Ngara,Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 17, 2016

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2016:-Kutoka Dar es salaam institute of Journalism and Mass Communication Tawi la Ngara,Kagera.

Dar es salaam institute of Journalism and Mass communication ni chuo kilicho sajiliwa na NACTE na VETA kwa nambari PWF/026P.,Tawi la Ngara,Kagera tunapenda kuwatangazia kuwa,Tunategemea kuanza mwaka wa masomo Awamu ya pili yaani (Intake two) 2016 kuanzia tarehe 01June 2016.

Kozi zinazotolewa katika chuo chetu katika ngazi ya CHETI(Certificate) STASHAHADA(Diploma) pamoja na STASHAHADA YA JUU(Higher Diploma)
 
Zote zinapatikana kwa kozi zifuatazo:-

1.ACCOUNTANCY &FINANCE (Uhasibu na Fedha)

2.PROCUREMENT &LOGISTICS (Ugavi na Manunuzi)

3.COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii)

4.LAW (Sheria )

5.BUSINESS ADMINISTRATION (Uratibu na Usimamizi wa Biashara)

6.NURSERY TEACHING (Ualimu wa watoto wadogo)

7.INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY  ICT_Computer na Mawasilian ya Habari)

8.JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (Uandishi wa habari na mawasiliano ya umma)

Pia tunatoa kozi fupi kama;

a.COMPUTER APPLICATIONS kwa muda wa miezi mitatu mpka sita.

b.SECTERIAL COURSES kwa mda wa miezi sita mpaka mwaka mmoja


•NB.Ukihitimu kozi fupi hizo unapata cheti cha chuo kinachotambulika mahala popote.

√Pia tuna kituo cha wanafunzi wanaorist mihani ya kidato cha sita na nne

√wanaorist mitihani ya qurified test yaaani QT

√Pia tunafundisha wanafunzi wanaojiandaaa kufanya mitihani ya Foundation Corse ili kupata sifa za kusoma Open University/Diploma N.k

√Tunatoa huduma za ushauri wa kisheria pamoja na ushauri wa kijasilia mali na biashara.

Pia tuna toa consantation kwa wale wanaotaka kufungua miradi(Projects)

√Pia tunafanya installation ya computerized system kama ya Quick book na Tally accounting package pamoja na kuzifundisha namna ya kuzitumia kwa garama nafuu sana.


SASA CHUO CHETU KIPO GOROFA YA KWANZA KATIKA JENGO LA TTCL NGARA KARIBU NA OFFICE ZA TRA NGARA.TUNAWAKARIBISHA SANA TUMEJIPANGA KUTOA HUDUMA HIZO ZOTE KWA UFANISI NA KWA WAKATI.

KARIBU UCHUKUE FOMU ZA KUJIUNGA PAMOJA NA KUPATA MAELEKEZO ZAIDI JUU YA KUJIUNGA NA CHUO CHETU.

 KWA MAWASILIANO:-

UNAWEZA KUFIKA MWENYEWE CHUONI AU UKATUPIGIA KWA MAELEKEZO ZAIDI KWA NO HIZI:

0758421849 / 0689594150 /  0752 776 718.

EMAIL.coordinators.dijmc@gmail.com

Au tembelea website yetu

www.dijmc.ac.tz.


TUNAKUKARIBISHA SANA KUPATA HUDUMA ZETU ELIMU INAYOTOLEWA INAENDANA NA WAKATI NA MAZINGIRA.

KARIBU SANA.

IMETOLEWA NA
BRANCH COORDINATOR
ELIUD RUZIGE
NGARA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad