Uongozi wa Moorland Premier Hotels
Limited , Hotel Mpya ya Kisasa inayotaraji wa Kufunguliwa rasmi Mwanzoni mwa
Mwezi wa saba mwaka huu, unapenda Kuwatangazia Nafasi za Kazi Kama ifuatavyo:-
1. Meneja wa Hotel - Nafasi (1)
2. Mapokezi -Nafasi (2)
3. Wapishi - Nafasi (4)
4. Wahudumu wa Bar na Hotelini - Nafasi (8)
5. DJ – au Mchezesha Muziki) – Nafasi moja (1)
6. Walinzi - Nafasi Mbili (2)
7. Mtunza Stoo - Nafasi Moja (1)
8. Wafanya Usafiwa wa Ndani - Nafasi tano (5)
9. Mfanya usafi wa Mazingira – Nafasi Moja (1)
10. Wakala wa Huduma ya M-Pesa
na Bank – Nafasi Moja (1)
Muombaji
wawe na Sifa za Msingi zifuatazo -
· Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa
kuanzia miaka kumi na nane (18yrs) na Kuendelea
· Awe na Hati ya Kuzaliwa ya Tanzania au
Kitambulisho cha Makazi yake.
· Awe anajua kusoma na Kuandika Kiswahili,
Kiingereza au Kifaransa.
· Awe na Vyeti vya Uzoefu Kwenye Kazi
husika anayoiomba.
Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 25/5/2016 Saa nne (4:00) Asubuhi
Maombi yote yatumwe kwa Anuani ya
baruapepe ya mphngara@gmail.com au
yafikishwe Hoteli ya Paradise – iliyopo Nakatunga Mjini Ngara,Kagera.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu +255786 766 322 au +255752 947 726.
|
No comments:
Post a Comment