DR PETER BUJARI:- Pikipiki za Kubeba Wagonjwa zimeleta manufaa gani?. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, May 20, 2016

DR PETER BUJARI:- Pikipiki za Kubeba Wagonjwa zimeleta manufaa gani?.

Serikari iueleze umma wa-Tanzania toka zimenunuliwa pikipiki 400 ( Pichani Juu ) kila moja kwa Tsh. 9.44 Milioni, zimeleta manufaa gani?.

Pikipiki hiyo ni moja ya mamia ya pikipiki amabazo hazijawahi kutumika toka zimenunuliwa. 

Hiyo Pichani ni ya Kata ya Mususagamba- wilaya ya Ngara,mkoani Kagera.

Picha/Habari Na. Peter Bujari

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad