|
7. Ni kwa namna gani WhatsApp
wameweza kufanikisha hivi?
WhatsApp
wametumia ‘The Signal Protocol’, iliyotengenezwa kwa Mfumo wa Open Whisper, kwa
ajiri ya ulinzi wa kimtandao (encryption).
Lengo lake ikiwa ni kuzuia watu wa
kati (third paties) kuweza kuingilia mawasiliano hayo, mfano waharifu wa
kimtandao (cybercriminals) na serikali ili wasiweze kuingilia mawasiliano
binafsi.
8. Je, madhara yake ni nini kwa
vyombo vya ulinzi?
Ulinzi huo
utaleta changamoto kubwa kwenye vyombo vya usalama(polisi) na sheria (mahakama)
kiduni hasa watakapotaka kuchunguza taarifa za matukio ya mtandaoni.
Vyombo vya
usalama pamoja na wizara yenye dhamana ya mawasiliano kwenye nchi husika ndiyo
watakuwa na jukumu la kuhakikisha mawasiliano ya wananchi wao yanakuwa
yamelindwa kabla whuduma haijaruhusiwa nchini.ZAIDI BOFYA HAPA
|
Saturday, April 09, 2016
TEKNOLOJIA YETU LEO:-Mambo 8 Muhimu Kuhusu Huduma Mpya ya WhatsApp.
Tags
# DONDOO
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.





No comments:
Post a Comment