MATOKEO / RATIBA LA LIGA 2015/2016:-FC Barcelona,Real Madrid na Atletico Madrid zakabana koo Kileleni baada ya ushindi wa Jana April 20, 2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, April 21, 2016

MATOKEO / RATIBA LA LIGA 2015/2016:-FC Barcelona,Real Madrid na Atletico Madrid zakabana koo Kileleni baada ya ushindi wa Jana April 20, 2016.

Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez , Jana April 20, 2016,usiku kaifungia timu yake Mabao 4 katika dakika ya 11,  24, 53 na 64 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye mchezo wa La Liga kwenye Uwanja wa Manispaa ya Riazor, La Coruna.
Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Ivan Rakitic dakika ya 47, Lionel Messi dakika ya 73, Marc Bartra dakika ya 79 na Neymar Junior dakika ya 81 huku Real Madrid nayo ikishinda bao 3- 0 dhidi ya Villarreal wakati Athletic Bilbao akifungwa bao 1 - 0 na Atletico Madrid.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad