|
Hiki ni
kipigo cha kwanza kwa Chelsea chini ya Meneja wa muda Guus Hiddink kwenye Ligi
na kimewabakisha Nafasi ya 10.
Nao Southampton
walitangulia kwa Bao 3-0 kwa Bao za Shane Long, Graziano Pelle na Victor
Wanyama huku la Newcastle United likifungwa na Andros Townsend.
Matokeo haya
yamewaacha Newcastle United wakiwa Pointi 6 nyuma ya Timu ya 17, Norwich City , ambayo ni
nafasi ya usalama.
LIGI KUU
UINGEREZA 2015/2016 RATIBA.
Jumapili
Aprili 10,2016.
1530
Sunderland v Leicester
1800
Liverpool v Stoke
1800
Tottenham v Man United
Jumatano
Aprili 13,2016.
2200 Crystal
Palace v Everton
|
Saturday, April 09, 2016
MATOKEO / RATIBA EPL 2015/2016:-Chelsea yalizwa Kimoja tu na Swansea.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment