|
Bao za Real Madrid
zimefungwa na James RodrÃguez, Dakika ya
5, Lucas Vázquez, 18', Cristiano Ronaldo, 19' na Jesé Rodriguez, 39'.
|
|
LA LIGA
2015/2016.
Ratiba/Matokeo:
Ijumaa Aprili 8,2016.
Granada CF 0
– 0 Malaga CF
Jumamosi Aprili 9,2016.
Real Madrid
CF 4 – 0 SD Eibar
RCD Espanyol
1 – 3 Atletico de Madrid
Dk 16’’Real
Sociedad 1 - 0 FC Barcelona
2305 Real
Betis v Levante
Jumapili Aprili 10,2016.
1300
Sporting Gijon v Celta de Vigo
1700 Valencia
C.F v Sevilla FC
1915
Villarreal CF v Getafe CF
2130
Athletic de Bilbao v Rayo Vallecano
Jumatatu Aprili 11,2016
2130
Deportivo La Coruna v Las Palmas
|
|
Kocha wa
Real Madrid , Zinedine Zidane, katika mchezo huo wa Leo alibadili Wachezaji 8 toka kile Kikosi
kilichofungwa 2-0 na Wolfsburg huko Ujerumani kwenye Mechi ya Kwanza ya Robo
Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2015/2016.
Wachezaji
pekee waliocheza Leo na ambao walicheza na Wolfsburg ni Pepe, Casemiro na
Cristiano Ronaldo
Jumanne,
Real Madrid watarudiana na Wolfsburg Uwanjani Santiago Bernabeu.
|





No comments:
Post a Comment