KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA:-Azam FC waipa 2 -1 Esperance . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 10, 2016

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA:-Azam FC waipa 2 -1 Esperance .


AZAM FC_0
Klabu ya Soka ya Azam FC leo hii April 10, 2016,imefanikiwa kuibuka kidedea kwa kuifunga Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar.

Mabao ya Azam FC yamefungwa na  Farid Mussa katika dakika ya 68 na Ramadhan Singano ‘Messi’ aliyefunga bao la pili dakika ya 69 ya mchezo.

Bao la Esperance limefungwa na Haithem Jouini dakika ya 33.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad