Makamu katibu Bw Salum Mwalimu akimlaki kwa bashasha kubwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA,Tanzania visiwani. |
Makamu
katibu chadema Bw Salum Mwalimu akimpokea mwenyekiti,akijadili jambo na Makamu Katibu
,kwa ajili ya mkutano wa Baraza Kuu
CHADEMA ambao utamtangaza Katibu
mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa.PICHA ZAIDI TAZAMA HAPO/BOFYA
|
No comments:
Post a Comment