Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mhe Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo mpya wa
kufua umeme Mjini Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016.
Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani.
|
Moja ya
mabango ambayo yalibebwa na wananchi wa Ngara katika mkutano uliohutubiwa na
Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe Kassim Majaliwa mjini Ngara Machi 15, 2016.
|
Waziri Mkuu,
Mhe Kassim Majliwa akizungumza na Wananchi wa Ngara baada ya kuweka jiwe la
Msingi la ujenzi wa Mtambo Mpya wa Umeme mjini Ngara Machi 15, 2016.
|
Waziri Mkuu
Mhe Kassim Majliwa akizungumza na Watumishi na Viongozi wa Mkoa wa Kagera
kuhitimisha ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilay ya
Ngara Machi 15, 2916. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu).
|
Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwa kizungumza na wakimbizi wa
Burundi walioko katika kambi ya
Lumasi iliyopo wilayni Ngara.
Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15 2016.
|
Baadhi ya
wakimbizi wa Burundi walioko kwenye kambi ya Lumasi iliyopo wilayani Ngara
wakimsikilza Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia akiwa katika
ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2916.
|
Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe
Kassim Majliwa akiagana na viongozi
kambi ya wakimbizi wa Burundi ya Lumasi iliyoko Ngara viongozi wa wilaya na UNHCR baada ya
kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016.
|
Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwa akisalimiana na waumishi wa Shirika
la Umeme Nchini TANESCO baada ya kuwasili kwenye eneo unapowekwa mtambo mpya wa
kufua umeme mjini Ngara ambao aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake Machi 15,
2016.
|
No comments:
Post a Comment