Bw. Todd Ray
na mbwa huyo.
Mbwa huyo
ana pua mbilia, jiulize anapumuaje? Bw. Todd Ray kutoka alikuwa kwenye ufukwe
wa Venice huko California, bahati nzuri akiwa anapungwa upepo ufwekuni hapo
akamuona mbwa wa maajabu (Toby) akikatisha, kutokana na kuwa na pua mbili Toddy
akavutiwa naye na kuamua kumchukua ili amtunze nyumbani kwake.
Todd anasema
‘Kila mtu akimuona Toby anavutiwa– ni mbwa mzuri kuwahi kutokea duniani.’
|
Mbwa huyo
hawezi kunyanyua pua zake juu kwa pamoja wala kuzishusha chini kwa pamoja,
lakini ana uwezo wa kunusa vizuri harufu ya mbali kuliko mbwa wa kawaida.
Bw. Todd kwa
sasa ameingia kwenye kitabu cha Kumbukumbu za Dunia (Guinness) akiwa na matukio
mawili makubwa likiwemo la kufuga wanyama wenye vichwa viwili.
|
No comments:
Post a Comment