EPL 2015/2016:-Matokeo Machi 01,2016 ‘’ya Chelsea..’’Leicester ndani ya Dakika 90. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, March 02, 2016

EPL 2015/2016:-Matokeo Machi 01,2016 ‘’ya Chelsea..’’Leicester ndani ya Dakika 90.

Mchezaji Kenedy (kulia) akipongezwa na  Eden Hazard (second from right) baada ya kuipa Chelsea goli la kuongoza dakika ya kwanza tu ya mchezo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza 2015/2016 usiku wa Jumanne Machi 01,2016 kwenye Uwanja wa Carrow Road.

Chelsea ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Kenedy na Diego Coasta dakika ya 45’’, wakati la wenyeji lilifungwa na Nathan Redmond  dakika ya 68’’.

Chelsea kwa ushindi huo, wapo nafasi ya 8 katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza kwa kuwa na jumla ya point 39 katika michezo ya 28 waliocheza. 

Chelsea watashuka dimbani March 05,2016 kucheza dhidi ya Stoke City katika mchezo wao wa 29 wa Ligi Kuu Uingereza.
 


Drinkwater's (kushoto) , Andy King (kulia) na Danny Simpson wakifurahia pamoja baada ya kuipa timu yao ya Leicester City magoli, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza, usiku wa Jana Jumanne Machi 01,2016 uliomalizika kwa sare ya magoli 2-2 kwenye Uwanja wa King Power.
Mabao ya Leicester City yalifungwa na Danny Drinkwater dakika ya 31’’na Andy King  dakika 45’’wakati ya West Brom yalifungwa na Jose Salomon Rondon dakika ya 11’’na Craig Gardner dakika ya 50’’.
Katika matokeo mengine ya Ligi Kuu Uingereza 

Jumanne Machi 01,2016.

Aston Villa 1 - 3 Everton 
             
AFC Bournemouth 2 - 0 Southampton
         
Leicester 2 - 2 West Brom 
           
Norwich 1 - 2 Chelsea 
      
Sunderland 2 - 2 Crystal Palace   
         
Jumatano Machi 02,2016.

2245 Arsenal v Swansea  
               
2245 Stoke v Newcastle   
               
2245 West Ham v Tottenham  
       
2300 Liverpool v Man City 
               
2300 Man United v Watford

Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad