BAADA YA DRAW :-Huu ndio Muonekano wa Robo Fainali ya UEFA na EUROPA CUP 2015/2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 18, 2016

BAADA YA DRAW :-Huu ndio Muonekano wa Robo Fainali ya UEFA na EUROPA CUP 2015/2016.

Droo ya Mechi za Robo Fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2015/2016  imefanyika Leo March 18,2016 na Mabingwa Mabingwa Watetezi FC Barcelona wamepangwa kucheza na wenzao wa Hispania, Atletico Madrid.

Bayern  Munich ya Ujerumani imepangwa kucheza na Benfica.

Mechi hizi zitachezwa Aprili 05/06 na Marudiano Aprili 12/13,2016.
Droo hii imeipanga  Liverpool na Kocha wake Jurgen Klopp kwenda Ujerumani kuwavaa Borussia Dortmund kwenye Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2015/2016.

Klopp aliondoka Dortmund mwishoni mwa Msimu uliopita baada ya kuwaongoza kutwaa Ubingwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuwafikisha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya.

Mechi za Robo Fainali zitachezwa Aprili 07 na 14,2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad