Mwinyi
Kazimoto (katikati) akisaidiwa kutoka nje na madaktari baada ya kuumia uwanjani.
Kwa ushindi
huo wa Bao 2-1 Simba SC walipocheza na Stand United huko Kambarage Jijini
Shinyanga na Simba SC sasa wapo kileleni wakiwa na Pointi 45 kwa Mechi 19
wakiguatiwa na Yanga SC wenye Pointi 43 kwa Mechi 18 na wa 3 ni Azam FC wenye
Pointi 42 kwa Mechi 16.
Hadi
Mapumziko, Simba walikuwa mbele 1-0 na Kipiundi cha Pili Kiiza tena kuwapa Bao
la pili na mwishoni Stand United kufunga Bao lao moja.
|
Huko Sokine,
Mbeya, Wenyeji Mbeya City waliitwanga Toto Africans Bao 5-1 kwa Bao za Rafael,
Ramadhan Chombo, Boban, Bao 2 na Meshak.
Mechi
inayofuata kwa Simba SC kwenye VPL ni February 20 ,2016 wataingia kwenye mchezo
dhidi ya Yanga SC wakiwa na morali ya juu baada ya kushinda michezo yao sita
kabla ya pambano hilo ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wao huku
wakiwa na kumbukumbu ya kipigo cha bao 2-0 kwenye mchezo wa raundi ya kwanza.
|
Baadhi ya
viongozi wa Simba SC wakifatilia mechi ya Stand United vs Simba SC.
Yanga SC ambao
wikiendi hii hawana Mechi ya VPL kwa vile Leo walikuwa huko Visiwani Mauritius
kucheza Mechi yao ya kwanza ya Raundi ya Awali ya CAF CHAMPIONZ LIGI
walipoipiga Cercle de Joachim 1-0 kwa Bao la Donald Ngoma.
MATOKEO.
Jumamosi Februari 13,2016.
Stand United
1 – 2 Simba SC
Mgambo JKT 0
– 1 African Sports
Mbeya City 5
– 1 Toto Africans
Ndanda FC 1 –
0 Majimaji
JKT Ruvu 1 –
1 Kagera Sugar
VPL
2015/2016 -LIGI KUU VODACOM
Jumapili Februari 14,2016.
Mwadui FC v
Tanzania Prisons
Coastal
Union v Azam FC
Jumamosi Februari 20,2016.
Yanga SC v
Simba SC
Mgambo JKT v
Tanzania Prisons
Stand United
v JKT Ruvu
Mbeya City v
Azam FC
Majimaji v
Mtibwa Sugar
Toto
Africans v Kagera Sugar
Jumapili Februari 21,2016.
Ndanda FC v
African Sports
Mwadui FC v
Coastal Union
|
No comments:
Post a Comment