Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo saba
kuchezwa katika viwanja tofauti, huku kila timu ikisaka pointi tatu muhimu ili
kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi hiyo.
Jumamosi,
Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Stand United watawakaribisha Simba SC,
Mgambo Shooting v African Sports (Mkwakwani), Mbeya City v Toto Africans
(Sokoine), Ndanda FC v Majimaji (Nangwanda) na JKT Ruvu v Kagera Sugar uwanja
wa Karume jijini Dar es salaam.
Jumapili
ligi hiyo itaendelea kwa michezo miwili, Mwadui FC watakua wenyeji wa Tanzania
Prisons kwenye uwanja wa Mwadui Complex, huku Coastal Union wakicheza dhidi ya
Azam FC uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Jumamosi Februari 20,2016.
Yanga SC v Simba
SC
Mgambo JKT v
Tanzania Prisons
Stand United
v JKT Ruvu
Mbeya City v
Azam FC
Majimaji v
Mtibwa Sugar
Toto
Africans v Kagera Sugar
Jumapili Februari 21,2016.
Ndanda FC v
African Sports
Mwadui FC v
Coastal Union
Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari kwa WhatsApp +255789925630 Or +255756830214.
|
No comments:
Post a Comment