UCHAGUZI MKUU FIFA:-Gianni Infantino ndio Rais Mmpya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 26, 2016

UCHAGUZI MKUU FIFA:-Gianni Infantino ndio Rais Mmpya.

Gianni Infantino ndiye aliyechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA.

Raia wa Switzerland Gianni Infantino amechukua mahala pake Sepp Blatter kama Rais wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA.

Katibu huyo mkuu wa FIFA alipata kura 115 katika raundi ya pili ikiwa ni kura 27 zaidi ya mpinzani wake wa karibu Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa.

Mwanamfalme Ali bin al-Hussein alikuwa wa tatu akiwa na kura nne huku Jerome Champagne akishindwa kupata hata kura moja.

Tokyo Sexwale alijiondoa kabla ya kura kuanza kupigwa mjini Zurich.

Raundi ya kwanza ya upigaji kura ilishindwa kum'baini mshindi wa moja kwa moja.

 
Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad