![]() |
Jambo hilo
liliwachukiza madiwani wa UKAWA ambao
walidai kuwa hawajapata barua ya pingamizi hilo, hivyo wakataka waruhusiwe
kufanya uchaguzi peke yao kwa kuwa akidi ya madiwani kufanya uchaguzi ilikuwa
imetimia.
Wakati
UKAWA wakijiiandaa kufanya uchaguzi
huo wenyewe ,Polisi zaidi ya 15
walivamia ukumbi huo na kuwataka madiwan hao waondoke ukumbini,jambo
lilowachukiza tena na kuibua patashika ndani ya ukumbi.TAZAMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.
|
![]() |
| Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari kwa WhatsApp +255789925630 Or +255756830214. |









No comments:
Post a Comment