REKODI YA LIVERPOOL DHIDI YA MA UNITED
Zimekutana mara: 177
Liverpool imeshinda: mechi 60 (
sawa na asilimia 33.9)
United imeshinda: mechi 72 (
sawa na asilimia 40.7)
Zimetoka sare mara: 45 (sawa na
asilimia 25.4)
Mabao yaliyofungwa 244 - 228.
Msimu huu
2015/2016, Manchester United na Liverpool zishakutana kwenye Ligi Kuu Uingereza na Man
United kushinda Mechi zote mbili, 3-1 ndani ya Old Trafford na 1-0 huko
Anfield.
Timu
nyingine ya Uingereza ambayo ipo hatua hii ni Tottenham ambayo imepangwa
kucheza na Borussia Dortmund ya Ujerumani.
Europa
League 2015/2016 -Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16
FC Shakhtar
Donetsk v RSC Anderlecht
FC Basel
1893 v Sevilla FC
Villarreal
CF v Bayer 04 Leverkusen
Athletic
Club v Valencia CF
Liverpool v
Manchester United
Sparta
Prague v Lazio
Borussia
Dortmund v Tottenham Hotspur
Fenerbahce v
SC Braga
Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari kwa WhatsApp +255789925630 Or +255756830214.






No comments:
Post a Comment