TASWIRA PICHA:- Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Awasili Arusha kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 28, 2016

 TASWIRA PICHA:- Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Awasili Arusha kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki.

Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa Viongozi  na Wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utofanyika jijini Arusha.

Picha na IKULU.

Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad