
![]() |
|
Katika tukio
hilo,Zaidi ya Mbuzi na kondoo 70 wamekatwa katwa na watu wanaodaiwa kuwa ni
walinzi wa jadi kutoka Gairo wanaojulikana kwa jina la Mwanu '
Taarifa
zinadai kuwa mifugo hiyo ilikula nusu ekari ya mazao ya mkulima mmoja kijijini
hapo na taarifa zikawafikia walinzi hao ambao walifika na kukatakata mifugo
hiyo mali ya mama mmoja mjane mfugaji wa jamii ya kimasai
Lakini
Inadaiwa kuwa mifugo ya mama huyo haikuhusika kula mazao hayo bali ni mifugo ya
mfugaji mwingine.
|













No comments:
Post a Comment