MAFANIKIO YETU:-Unilever yatoa Zawadi Kwa Wanafunzi wa Shule mbambali Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, February 03, 2016

MAFANIKIO YETU:-Unilever yatoa Zawadi Kwa Wanafunzi wa Shule mbambali Dar es Salaam.

Mwanafunzi wa darasa la tano wa shule ya msingi Maarifa, Gongo la Mboto, jijini Dar es Salaam  Ester Lawrence akipokea fulana kutoka kwa Balozi wa Blue Band Neema Upendo shuleni hapo jana February 01,2016,akiwa ni mmoja wa washindi wa shindano la Blue Band ‘Kula Tano’ linalowamasisha wanafunzi kutambua umuhimu wa kula vyakula vyenye virutubisho. 

Kushoto ni mwalimu wa michezo Edith Katundu.
Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630-/+255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad