Jackson
Mayanja-Kocha wa Simba SC.
Huko mjini
Shinyanga, Simba SC iliitungua Kagera Sugar kwa bao 1 – 0, la Ibrahim Ajib
wakati Chamazi Complex, Jiji la Dar es Salaam, Azam FC iliitungua Mwadui FC bao
1-0 kwa goli la Kipre Tchetche.
Ushindi huu
umewabakiza Yanga SC kileleni wakiwa na Pointi 43 kwa Mechi 18 wakifuatiwa na
Simba SC wenye na Pointi 42 kwa Mechi 18 huku Azam FC ikiwa na Pointi 42 kwa
Mechi 16.
Jumapili
Februari 07,2016.
Mbeya City 0
– 0 Tanzania Prisons
Ndanda FC 1 –
1 Mtibwa Sugar
Toto
Africans 2 – 1 Coastal Union
Majimaji 1 –
0 Mgambo JKT
MSIMAMO.
|
No comments:
Post a Comment