|
Akizungumza
na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,February 14,2016, katika hospitali
hiyo, Waziri Ummy amesema kuwa mpaka kufikia kesho tayari jengo hilo litakuwa
limeanza kutumika kwa kuwa watafanya kazi ya kuhamisha makabrasha ya watumishi
hao usiku kucha kuhakikisha agizo la Rais John Magufuli linatekelezwa mara
moja.
Picha
mbalimbali zinaonesha Waziri Ummy Mwalimu akikagua utekelezaji wa agizo la Rais
John Magufuli pamoja na watumishi na vibarua wakihamisha nyaraka na makabrasha
mbalimbali kutoka kwenye jengo lililokuwa likitumiwa kama ofisi na watumishi wa
wizara hiyo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
|
Sunday, February 14, 2016
Home
MATUKIO
AGIZO LA RAIS MAGUFULI:-Waziri Ummy Mwalimu atembelea Muhimbili kukagua utekelezaji Wake.
AGIZO LA RAIS MAGUFULI:-Waziri Ummy Mwalimu atembelea Muhimbili kukagua utekelezaji Wake.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment