Katika
mchezo huo, mwamuzi msaidizi namba moja, Mohammed Mkono wa Tanga alikataa bao
moja la kila timu, akisema wafungaji waliotea.
Atupele
Green aliunganisha krosi ya William Lucian ‘Gallas’ dakika ya nane na kutinga
nyavuni, lakini akaambiwa alikuwa ameotea kabla.
Daniel
Lyanga naye aliunganishia mpira nyavuni dakika ya 62 baada ya pasi ya Hajib,
lakini refa Rajab Mrope wa Songea akaafiki maamuzi ya Mkono kwamba mfungaji
alikuwa ameotea kabla.
Ushindi huo,
unawafanya Simba SC wafikishe pointi 27 baada ya kucheza mechi 13 na kupanda
hadi nafasi ya tatu, nyuma ya mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 33 na
Azam FC pointi 35.
Ligi Kuu
inakwenda mapumzikoni kwa mara nyingine hadi katikati ya mwezi, kupisha
michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza keshokutwa ,January 03,2016 visiwani Zanzibar.
|
Friday, January 01, 2016
VPL 2015/2016:-Simba SC yaongeza pointi tatu za Ligi Kuu ikiifunga Ndanda FC bao 1-0.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment