Mashirika ya misaada
yamesema kuwa hali ya hewa ya El Nino ambayo imekuwa ndiyo kali zaidi katika
historia itazidisha hatari ya njaa na maradhi kwa mamilioni ya watu duniani
2016.
Hali hii ya hewa
inatarajiwa kusababisha ukame baadhi ya maeneo na mafuriko kwingine, ambapo
baadhi ya maeneo yanayotarajiwa kuathirika sana yako Afrika, huku uhaba wa
chakula ukitarajiwa kufikia kilele mwezi Februari.
Hali ya hewa ya El Nino, hutokana na
kuongezeka kwa joto na huathiri hali ya hewa maeneo mengi. Mwaka huu hali hii
imezidi na kuufanya mwaka 2015 kuwa mwaka wenye joto zaidi duniani katika
historia.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .
|
Saturday, January 02, 2016
HALI YA HEWA:-El nino kuathiri Mamilioni ya Watu 2016.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment