EMRATES FA CUP:-Chelsea imetinga Raundi ya 4 kwa kuifunga Scunthorpe United Bao 2-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, January 10, 2016

EMRATES FA CUP:-Chelsea imetinga Raundi ya 4 kwa kuifunga Scunthorpe United Bao 2-0.

Chelsea imetinga Raundi ya 4 ya EMIRATES FA CUP baada ya kuifunga Timu ya Daraja la chini la Ligi 1 Scunthorpe United Bao 2-0 kwenye Mechi iliyochezwa Stamford Bridge.

Bao za Chelsea zilifungwa na Diego Costa na Ruben Loftus-Cheek alieingizwa kutoka Benchi.

EMRATES FA CUP

Raundi ya 3

Jumapili Januari 10,2016.

Oxford United 3 – 2 Swansea 
                  
Carlisle 2 – 2 Yeovil 
            
Chelsea 2 – 0 Scunthorpe  
             
Tottenham 2 – 2  Leicester  
               
2100 Cardiff v Shrewsbury   



DROO-Namba za Timu kwenye Chungu cha Droo.

1Watford

2West Bromwich Albion au Bristol City

3West Ham United

4 Derby County

5Exeter City au Liverpool

6Tottenham Hotspur au Leicester City

7Colchester United

8Peterborough United

9Northampton Town au Milton Keynes Dons
10Arsenal

11Newport County au Blackburn Rovers

12Ipswich Town au Portsmouth

13 Bournemouth

14Wycombe Wanderers au Aston Villa

15Sheffield Wednesday

16Oxford United au Swansea City

17 Walsall

18Bury or Bradford City

19Manchester United

20Everton

21 Crystal Palace

22Eastleigh au Bolton Wanderers

23Nottingham Forest
 
24Carlisle United au Yeovil Town
 
25Chelsea au Scunthorpe United
 
26 Stoke City 
 
27Leeds United
 
28Cardiff City au Shrewsbury Town
 
29Huddersfield Town au Reading
 
30 Burnley
 
31 Manchester City
 
32Hull City
Katika Mechi ya kwanza hii Leo,January 10, 2016, Oxford United, Klabu inayocheza Ligi 2, ilitoka nyuma kwa Bao 1 na kuitwanga Swansea City, inayocheza Ligi Kuu England, Bao 3-2.

Bao za Oxford zilifungwa na Liam Sercombe, Penati Dakika ya 45, na nyingine 2 na Kemar Roofe katika Dakika za 49 na 59.

Bao za Swansea zilipachikwa na Jefferson Montero na Bafetimbi Gomes katika Dakika za 23 na 66.

Droo ya Mechi za Raundi ya 4 itafanyika kesho Jumatatu,January 11,2016 Usiku.

++++++++++++++++++++++++++

THE EMIRATES FA CUP 2015/16

TAREHE MUHIMU

Raundi ya 3

Ijumaa 9 Januari 2016

Raundi ya 4

Jumamosi 30 Januari 2016

Raundi ya 5

Jumamosi 20 Februari 2016

Raundi ya 6-Robo Fainali

Jumamosi 12 Machi 2016

Nusu Fainali

Jumamosi 23 Aprili 2016 & Jumapili 24 Aprili 2016

Fainali

Jumamosi 21 Mei 2016

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad