VPL 2015/2016:- Azam FC yaifumua 2-0 Kagera Sugar. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Sunday, December 27, 2015

demo-image

VPL 2015/2016:- Azam FC yaifumua 2-0 Kagera Sugar.

.com/simgad/
1
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu yao katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara –VPL 2015/2016 dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex leo December 27,2015. 

Azam FC waliichapa Kagera Sugar 2-0 na huko CCM Kirumba Jijini Mwanza Wenyeji Toto Africans walitunguliwa 1-0 na African Sports.. (Picha na Francis Dande).
5
Azam FC walifunga magoli yao dakika ya 9 kupitia Kipre Tchetche na Shomari Kapombe katika Dakika ya 74 na kuwapa ushindi wa 2-0 ambao sasa umewafanya wawakaribie Vinara Yanga SC wao wa kiwa Nafasi ya Pili Pointi 1 nyuma yao huku wakiwa na Mechi 1 mkononi.

Sasa Azam FC wana nafasi murua kuipiku Yanga SC kwenye Mechi yao ya kiporo watakayocheza na Mtibwa Sugar hapo Jumatano Desemba 30,2015 ikiwa watashinda.

MSIMAMO WA VPL 2015/2016.
VPL-DES27

2

3
LIGI KUU VODACOM

Desemba 26,2015 - Matokeo

Yanga SC 3 – 0  Mbeya City

Coastal 1 – 3 Stand United

Mtibwa Sugar 3 – 0 JKT Mgambo

Mwadui FC 1 – 1 Simba SC

Ndanda FC 1 – 3 JKT Ruvu

Majimaji FC 0 – 2 Tanzania Prisons

4
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *