Mtandao huu
umeongea na Bibi mmoja ambaye kidogo ni wa zamani amesema kati ya miaka ya 1965
hadi 1970 ndio kitu hicho kiligongelewa humo na wazungu waliofika eneo hilo na
kupigilia kitu hicho, watu wengi waliamini kuwa ni alama ya wazungu waliweka
huku wengine wakidai alama hiyo ni ishara ya kuwepo kwa madini ndani ya ardhi ya
eneo hilo.
Kwa
watakaopenda kwenda kushuhudia kama mimi ukitoka Ngara kuelekea Murukulazo
ukifika Msumba Senta kuelekea Murukulazo kabla hujafika mbali kuna kidaraja
sasa kabla hujakifikia hicho kidaraja mkono wa kulia jiwe hilo lipo hapo.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp . |
Wednesday, December 23, 2015
Home
MATUKIO
UTALII NGARA:-Tazama Picha ya Jiwe hili likiwa na kitu kama Nondo iliyopigiliwa Miaka mingi iliyopita.
UTALII NGARA:-Tazama Picha ya Jiwe hili likiwa na kitu kama Nondo iliyopigiliwa Miaka mingi iliyopita.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment