Aidha Kiongozi mkuu wa baraza la waislamu Tanzania
Bakwata wilayani Ngara ,Sheikh Rajabu Msabaha amesema waumini wanatakiwa
kumuenzi mtume kwa kutenda yale aliyofanya hasa kufanya kazi za kujikwamua
kiuchumi.
Awali katibu wa baraza hilo Bw Abdul Ally
amesema baraza hilo liko katika mchakato wa kujenga ofisi ya sheikh wa
wilaya hiyo ili apate sehemu ya kufanyia shughuli za kiimani ili kuhudumia
jamii ya kiislamu.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp . |
Thursday, December 24, 2015
Home
MATUKIO
• TASWIRA PICHA:-Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Ngara mkoani Kagera leo December 24,2015 wanaungana na wenzao kote duniani, kuadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume Mohamadi S.A.W
• TASWIRA PICHA:-Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Ngara mkoani Kagera leo December 24,2015 wanaungana na wenzao kote duniani, kuadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume Mohamadi S.A.W
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment