Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa.
TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Pichani) anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim
Majaliwa Majaliwa au Kassim M. Majaliwa.
Tangu
alipoteuliwa kushika wadhifa huo, kumekuwa na uchanganyaji wa majina yake na
hii ni kwa sababu tangu akiwa chuoni na jeshini, alikuwa akitanguliza kutaja
ubini (jina la ukoo) na ndiyo maana ikawa inasomeka Majaliwa Kassim Majaliwa.
Endapo jina
hilo litaanza kuandikwa na ubini, litapaswa kutenganishwa na koma kama
ifuatavyo: Majaliwa, Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa aliteuliwa na Rais, Dkt. John Pombe Magufuli Novemba 19, 2015
na kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku hiyo hiyo.
Aliapishwa Novemba 20, 2015 kwenye Ikulu ndogo ya Chamwino, Dodoma.
IMETOLEWA
NA:
OFISI YA
WAZIRI MKUU,
2 MTAA WA
MAGOGONI,
S. L. P. 3021,
11410 DAR ES
SALAAM
JUMATANO,
DESEMBA 2, 2015.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp . |
Thursday, December 03, 2015
FAHAMU HII:- Taarifa kuhusu majina sahihi ya Waziri Mkuu.
Tags
# DONDOO
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment