Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Mama na Baba Lishe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Mhonzu
akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idata Maleleo kuelezea
kuhusu Uzinduzi wa Ushirika wa Mama na Baba Lishe unaotarajia kufanyika Novemba
15, 2015 ukumbi wa SabaSaba jijini Dar es Salaam.
|
Mama Lishe
wakiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa idata Maleleo kuelezea kuhusu
Uzinduzi wa Ushirika wa Mama na Baba Lishe unaotarajia kufanyika Novemba 15,
2015 ukumbi wa SabaSaba jijini Dar es Salaam.
|
Waaandishi
wa habari wakufuatia mkutano huo.
|
No comments:
Post a Comment