UCHAGUZI TANZANIA 2015:-Unaendelea na hii ni ratiba ya NEC inaanza Jumapili November 15,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, November 11, 2015

UCHAGUZI TANZANIA 2015:-Unaendelea na hii ni ratiba ya NEC inaanza Jumapili November 15,2015.

NEC
Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania kwa mujibu wa Sheria na Katiba wa Madiwani, Wabunge na Rais wa awamu ya tano Tanzania,umekamilika lakini bado kuna Majimbo ambayo uchaguzi haukufanyika kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wagombea wake kufariki… hii ni Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC ina orodha ya Majimbo na Kata pamoja na tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi huo wa Wabunge na Madiwani.

NEC II NEC III NEC IV
RATIBA YA UCHANGUZI KATIKA MAJIMBO MENGINE NI HII.

NEW NEC
NEW NEC II
NEW NEC III
NEW NEC IV
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad