Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
John Pombe Joseph Magufuli tayari ameapishwa na kuanza kazi,toka November 05,2015… kwa upande wa
Wabunge wenyewe bado.
Kinachosubiriwa ni kuitishwa kwa Bunge la 11
ambapo Spika Mteule pamoja na Wabunge wote wataapishwa… kingine kitakachofanyika
ni uthibitisho wa jina la Waziri Mkuu, uchaguzi wa Naibu Spika na ufunguzi
rasmi wa Bunge la 11.
Mpaka leo
November 11 2015 , Ni majina ya Wabunge 256 ambayo Tume ya Uchaguzi Tanzania -NEC
imeyathibitisha kwamba wamepita kwenye Uchaguzi na wanasubiri kuapishwa.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .
|
No comments:
Post a Comment