Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu
Kailima Ramadhani amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi
ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini.
Katika ufafanuzi huo
amefafanua mambo makuu Mawili.
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na 2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo. i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450 ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450 ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE. Itakuwa hivi. Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:- 450+450+450 = 1300 1900-1300 = 550 550 gawanya kwa 2 = 275. KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900 PATAKUWA NA VITUO VITANO (5). 1. KITUO CHA KWANZA WATU 450 2. KITUO CHA PILI WATU 450 3. KITUO CHA TATU WATU 450 4. KITUO CHA NNE WATU 275 5. KITUO CHA TANO WATU 275 JUMLA 1900 ZINGATIA Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Sunday, October 11, 2015
Home
HABARI
SIASA
UCHAGUZI MKUU TANZANIA :- Ufafanuzi wa Idadi ya Vituo vya Kupigia Kura October 25,2015.
UCHAGUZI MKUU TANZANIA :- Ufafanuzi wa Idadi ya Vituo vya Kupigia Kura October 25,2015.
Tags
# HABARI
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment