TASWIRA PICHA:-Rais Kikwete Alivyokabidhi Jeshi la Polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Wednesday, October 21, 2015

TASWIRA PICHA:-Rais Kikwete Alivyokabidhi Jeshi la Polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa.

Sehemu ya magari 399 kati ya 777 yaliyoagizwa. ..PICHA ZOTE NA IKULU.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana  Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi. 

 Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Sehemu ya magari hayo

 Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu akisoma risala kwa Rais Kikwete katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana  Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

  Sehemu ya maafisa waandamizi wa Polisi katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi

  Maafisa wa Polisi katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi

 Maafisa wa Polisi katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi

 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia  katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana  Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.
 Rais Kikwete akihutubia katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete akikata utepe katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete akimkabidhi IGP Mangu funguo za magari hayo  katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete akishukuriwa na IGP Mangu baada ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete akikagua sehemu ya  magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete akikagua sehemu ya  magari 399 kati ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na maafisa na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya  magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari  777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

  Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari  777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

  Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kukabidhi sehemu ya  magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.

 Picha ya kumbukumbu na makandarasi walioleta magari hayo

 Naibu IGP akitoa salamu za shukurani kwa Rais Kikwete 

 Rais Kikwete akiongea na IGP Mstaafu Dkt. Saidi Mwema baada ya sherehe hiyo.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad