TASWIRA PICHA:-Ashukuriwe Mungu kwa kuepusha madhara katika msafara wa kumsindikiza Marehemu Deo Filikunjombe. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 18, 2015

TASWIRA PICHA:-Ashukuriwe Mungu kwa kuepusha madhara katika msafara wa kumsindikiza Marehemu Deo Filikunjombe.

Ashukuriwe Mungu kwa kuepusha madhara kwenye hii ajali ya gari la Bunge katika msafara wa kumsindikiza Marehemu Deo Filikunjombe.

Polisi:"Ajali hiyo ni kweli imetokea kwa makadirio ni km 70 kabla hujaingia Ludewa,waliokuwemo kwenye gari ni Katibu wa Spika,Commissioner wa Bunge na Dereva na wote wako salama.

Taarifa toka kwa AF - RTO Njombe,chanzo chake ni tairi ya nyuma kupasuka, gari tayari imeisha ondolewa eneo la tukio kwa kubadilisha tairi na kuendeshwa."..Picha zote kwa Hisani ya ROAD SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad