‘Tukawapa
ushauri na tukazungumza nao nimeenda mpaka chuo cha Dodoma tukazungumza nao na
tukawapa utaratibu mpaka tukaunda kamati ikaongozwa na Jaji Mkwawa wasikilizwe
wakaelezwa na baadae wakaandikiwa barua kwa hiyo hili suala ni
suala la kisiasa na tumeshughulika nalo mwisho tukawaambia kwamba
wamejinyima wenyewe hii nafasi’- Lubuva.
|
‘Kwa hiyo
suala la wanafunzi ninasema kwa niaba ya wenzangu kwamba kwenye tume tumefunga
mlango na upande wa kuboresha daftari umepita ni wao wenyewe wamejinyima na kuhusu
kwamba vyuo vifungwe kwasababu ya Uchaguzi Mkuu ni suala la Wizara ya
Elimu sio la tume ya Uchaguzi – Lubuva.
Habari kwa hisani ya MILLARDAYO.COM
|
No comments:
Post a Comment