PONGEZI KWA DR MAGUFULI:-Anna Mghwira Amkabidhi Magufuli Ilani Ya ACT Wazalendo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, October 30, 2015

PONGEZI KWA DR MAGUFULI:-Anna Mghwira Amkabidhi Magufuli Ilani Ya ACT Wazalendo.

Mgombea urais wa chama cha ACT Wazalendo ,Mama Anna Mghwira aliyemaliza wa tatu ni miongoni mwa waliofika kumpongeza Dr Magufuli na alipata fursa ya kumpa neno Rais Mteule Dr. John Magufuli (hayupo pichani), kubwa alimuomba katiba mpya ya wananchi ipatikane na akamkabidhi ilani yake ya uchaguzi.

Anna Mghwira -ACT-Wazalendo aeleza matarajio ya Watanzania kwa uongozi wa Dr.Magufuli ikiwemo katiba ya mpya, usawa, uchumi na kudumisha amani  ya nchi huku akimkabidhi ilani ya chama chake.

HAPA CHINI BONYEZA PLAY KUSIKILIZA HOTUBA YAKE FUPI

 

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad