![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni
waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani
City katika hafla ya kuagwa kwake
ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii hapo Jana August 06,2015 kwa ajili ya kumshukuru kwa namna
alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha
Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,....Dkt Jakaya Kikwete
alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa muziki
pamoja na Bongomovie na pia alikubali kuwa mlezi wa tasnia hizo na kuhakikisha
mambo yanakwenda sawa ndani ya tasnia hizo mbili adhimu kwa sasa hapa nchini.PICHA NA MICHUZI JR.-KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
|
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete katikati pichani akiserebuka
na wadau wa muziki na huku akipiga nao picha,ndani ya ukumbi wa Mlimani
City katika hafla ya kuagwa kwake
ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna
alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha
Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli.
|
![]() |
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akipiga ngoma huku akishirikiana na Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga gitaa ndani ya ukumbi wa mlimani
City jijini Dar es Salaam jana August 06,2015.
|
![]() |
Mwanadada
Wema Sepetu akimtunza midola Dkt John Magufuli alipokuwa akipiga ngoma jukwaani
kwa ustadi mkubwa.
|
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Mgombea
Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na Uuenezi Nape Nnauye na pamoja
na Januari Makamba wakifurahia jambo kwa pamoja na wageni waalikwa mbalimbali
waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City kushiriki hafla ya kuagwa kwake
ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna
alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10.
|
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Mgombea
Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli pamojoa na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana (mwisho
kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh.Paul Makonda wakiwasili ndani ya ukumbi
wa Mlimani City kushiriki hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa
Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia
madarakani kwa miaka 10.
|
![]() |
Rais Dr.
Jakaya Kikwete akifurahia jambo na
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia
CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki
hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na Muungano wa wasanii Kumshukuru Mh.
Dr. Jakaya Kikwete kwa jinsi alivyowasaidia katika uongozi wake wa miaka 10
kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kumkaribisha Mgombea wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli, Kushoto ni Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana pia akishiriki tukio hilo.Hafla hiyo imehudhuriwa na
wasanii mbalimbali wakiwemo waigizaji wa
filamu, wachezaji na wanamuziki wakishiriki kwa pamoja kumshukuru Dk.Jakaya
Kikwete.
|
![]() |
Baadhi ya
Wadau wa muziki wakifurahia jambo wakati Rais Dkt Jakaya Kikwete alipokuwa
akiwasili ndani ya ukumbi wa Mlimani City.
|
![]() |
Rais Jakaya
Kikwete akisalimiana na baadhi ya wadau wa muziki nchini ndani ya ukumbi wa
mlimani City usiku huu.
|
![]() |
Dkt Jakaya
Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom,Kelvin
Twisa.
|
![]() |
Dkt Kikwte
akisalimiana na baadhi ya Wasanii wa muziki wa bongofleva.
|
![]() |
Rais Jakaya
Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Mh Said Meck Sadick ndani
ya ukumbi wa mlimani city usiku wa jana August 06, 2015.
|
![]() |
Wanauziki
wakongwe pia walikuwepo kumshukuru Rais Kikwete kwa mambo mengi aliyoyafanya
katika uongozi wake wa miaka kumi ndani ya tasnia ya muziki.
|
![]() |
Mmoja wa
wasanii akiimba jukwaani kwa hisia.
|
![]() |
Baadhi ya
Wanamuziki wakongwe walihudhuria hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa.
![]() |









Wanauziki
wakongwe pia walikuwepo kumshukuru Rais Kikwete kwa mambo mengi
aliyoyafanya katika uongozi wake wa miaka kumi ndani ya tasnia ya muziki








![]() |
No comments:
Post a Comment